Leviticus 7:36

36 aSiku ile walipotiwa mafuta, Bwana aliagiza kwamba Waisraeli wawape hili kama fungu lao la kawaida kwa vizazi vijavyo.

Copyright information for SwhNEN